Tusimulie hadithi moja uliyoichagua mwenyewe. Itaandikwa kwenya kitabu, na baadaye ikimalizika, itasomwa kwa sauti. Inaposomwa, zingatia, na ukitaka kuibadilisha au kurekebisha, unaweza. Baada ya kuandika, unaweza pia kuchora picha ya hadithi yako.